Wajue Watu Maarufu Wenye Ushawishi Mkubwa Duniani,Orodha Kamili Ipo Hapa.

Kim Jong Un.
Nicki Minaj,Kim Jong un na Donald Trump na Lewis Hamilton wana kitu kimoja kinachowaunganisha.
Huwezi kufikiria kwamba wanaweza kuketi katika meza moja ,lakini wametajwa miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa duniani.
Orodha hiyo ya mwaka 2016 pia inamshirikisha Hillary Clinton,Kendrick Lamar, PewDiePie, Adele,Caitlyn Jenner na Leonardo DiCaprio.
Donald Trump.

Katika tamasha la siku ya Jumanne la New York baadhi ya nyota hao walihudhuria Nick alisema kuwa hiyo inatokana na yeye kuwa mwanamke huru.
Aliwambia wanaume waliojaa katika ukumbi wa tamasha hiyo kwamba :iwapo hamjui kuwashughulikia wanawake wenu kuna watu 100 ambao wana uwezo wa kuchukua fursa hiyo.
Nicki Minaj.

Lewis Hamilton alisema kuwa ni heshima kubwa kwake kuorodheshwa katika tamasha hiyo ya watu 100 mbali na kuorodheshwa miongoni mwa watu 100 duniani walio na ushawishi mkubwa.
Lewis Hamilton.
Wakati huohuo alimuomboleza marehemu Prince akisema kuwa alikuwa mwanamuziki bora wa kizazi chote.
Powered by Blogger.