Maamuzi Ya Instagram Kuhusu Watanzania Hawa.

Matumizi ya mitandao ya kijamii yamezidi kushika nafasi kwa kasi kwa nchi za Africa huku Nigeria na Tanzania zikitajwa kuongoza kwa matumizi hayo.
 

 Usiku wa April 11,2016 ulikua wa kipekee kwa mastaa wawili wa Bongo  ni Vanessa Mdee na Idris Sultan wamekua Verified kwenye mtandao wa instagram.

 
Akaunti ikiwa verified inawekwa tiki ya blue ambayo inakua na maana akaunti hiyo ni halali na inatambulika ulimwenguni kote.
 Wawili hao wameifanya Idadi ya watanzania walio Verified kuwa wanne wakiungana na Diamond Platnumz na Flaviana Matata.
Powered by Blogger.