Utafiti Wa BBC Wasema Suarez,Jamie Vardy Na Aubameyang Ni Wachezaji Bora Ulaya.

Luis Suarez.
Mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Luis Suarez aliyefunga mabao mawili siku ya Jumanne dhidi ya Atletico Madrid,alikuwa chaguo la wengi kama mshambuliaji bora barani katika ligi hiyo ya Ulaya msimu huu.
Mshambuliaji wa Barcelona.

 
Kati ya watu 20,250 walioshiriki ,7,342 walimchagua raia huyo wa Uruguay zaidi ya mara mbili ya aliyechukua nafasi ya pili ,mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy aliyepata kura 2,994.
Mshambuliaji wa Leceister City Jamie Vardy.

Pierre-Emerick Aubemeyang.

Mshambuliaji wa Borrusia Dortmund Pierre-Emerick Aubemeyang alichukua nafasi ya tatu akiwa na kura 1989,mbele ya mchezaji bora wa shirikisho la soka duniani mwaka huu Lionel Messi aliyejipatia kura 1779 naye mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane akipata kura 1684.
Lionel Messi.

Cristiano Ronald.
Utafiti huo umefanywa na BBC.
Matokeo kamili ni kama yalivyoorodheshwa hapa:

  Published By: Alex Sonna.
 Unaweza Kuzipata Story Zote Za Ndani Na Nje Ya Bongo Kwa Kujiunga Na SeetheAfricanLink Kwenye: Facebook|Twitter|Instagram|YouTube|Audiomack

Powered by Blogger.