Ujumbe Wa Lady Jay Dee Kwa Ray C Walipokutana Baada Ya Miaka Sita.

Thank you for visiting me doll( Ray C)

A message of Hope:
Kila Mtu Anapitia Magumu Katika Maisha
Kwa Njia Tofauti
Hakuna Jaribu Lisilo na Mlango wa Kutokea, Amini na Amua
Nakupa Moyo na Mungu Akusaidie
Kwa Yote Unayopitia
Akuondolee Akuepushie
Na Akupe Kufahamu na Kukiri Mabaya πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ
Watu Wanakupenda
Nakumbuka Tulivyo Anza
Kimtindo nai miss Competition
Pls Come Back 
Naamini Bado Unayo Nafasi πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Binti Amka Jikaze Anza Mwendo
Umrembo na Bado Wang'ara πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»
Ni baada ya miaka 6
Tangu kuonana mara ya Mwisho 
Story nazo ni ndefu na nyingi

Ombi:
Tuheshimu na kuhurumia matatizo ya wengine, tafadhali msi comment vibaya wala kwa kejeli.
Lolote linaweza kumfika yoyote
SAA yoyote
Tuonyeshe Mapenzi

Alamsiki
#PowerOfPositivity
Kwa Mujibu Wa Malkia Wa Bongoflava +Lady Jay Dee ni miaka sita ilipita bila kuwa na ukaribu na mwanamuziki mwenzake Ray C.
 Kupitia ukurasa wake wa instagram hitmaker huyo wa Ndi Ndi Ndiameandika ujumbe ufuatao kuonyesha kufurahishwa na kitendo hicho.
 
Thank you for visiting me doll( Ray C)

A message of Hope:
Kila Mtu Anapitia Magumu Katika Maisha
Kwa Njia Tofauti
Hakuna Jaribu Lisilo na Mlango wa Kutokea, Amini na Amua
Nakupa Moyo na Mungu Akusaidie
Kwa Yote Unayopitia
Akuondolee Akuepushie
Na Akupe Kufahamu na Kukiri Mabaya 
 Watu Wanakupenda
Nakumbuka Tulivyo Anza
Kimtindo nai miss Competition
Pls Come Back
Naamini Bado Unayo Nafasi
Binti Amka Jikaze Anza Mwendo
Umrembo na Bado Wang'ara 
 Ni baada ya miaka 6
Tangu kuonana mara ya Mwisho
Story nazo ni ndefu na nyingi
Ombi:
Tuheshimu na kuhurumia matatizo ya wengine, tafadhali msi comment vibaya wala kwa kejeli.
Lolote linaweza kumfika yoyote
SAA yoyote
Tuonyeshe Mapenzi

Alamsiki
#PowerOfPositivity

Powered by Blogger.