Tazama Jinsi Donald Trump Na Hillary Clinton Walivyofanya New York Na Ted Cruz Na Bernie Sanders Hoi.


Wakiwa katika mdhahalo wa kutafuta nafasi ya kuchaguliwa kuviongoza vyama vya katika mbio za urais zaidi ya nusu ya kura zilizohesabiwa katika uchaguzi wa awali wa urais nchini marekani katika mji wa New York,zinaonesha kwamba Donald Trump na Hillary Clinton wamepata ushindi mkubwa Zaidi ndani ya vyama vyote viwili.
Hillary Clinton.

Hillary Clinton ambaye amemshinda mpinzani wake Bernie Sanders kwa ushindi mkubwa ameeleza katika hotuba yake kuwa ushindi wa chama chake cha Democratic umeweza kuwaunganisha zaidi wapinzani wake kuwa wamoja Zaidi ya kuwagawa.
Donald Trump.

Hata hivyo New York inatajwa kuwa ngome kubwa ya Donald Trump,ambapo Cruz yeye hesabu za kura zake zimeonekana kugoma mapema kabisa katika chama chake cha Repubilcan .
Wakati Hillary Clinton amemshinda mpinzani wake Bernie Sanders kwa ushindi mkubwa .Hillary amewaambia wapinzani wake kuwa kuna la ziada linalowafanya wawe wamoja Zaidi ya kuwagawa.
Powered by Blogger.