Coast Union Yaichakaza Bila Huruma Simba Na Kuitupa Nje Ya FA Na Coast Union Yatinga Nusu Fainali.

Kikosi cha Coast Union.
Wakicheza katika uwanja wa ugenini jijini Dar es salaam timu ya Coast Union wameichapa timu ya Simba na kuitoa nje katika michuano ya Azam Federation Sport[ FA] kwa kuifunga mabao 2-1.
Mkunde na mchezaji wa Coast Union.
Kwa hatua hiyo Coast wametinga nusu fainali na kuwafuata Azam,Yanga na Mwadui na droo ya nusu fainali ya michuano hiyo itapangwa kesho katika runinga ya Azam Tv majira ya saa 3.30 asubuhi.
Kikosi Cha Simba.
Powered by Blogger.