Tamko La Polisi Baada Ya Uchunguzi Wa Kifo Cha Prince

Marehemu Prince Enzi Za Uhai Wake.  Utawala katika jimbo la Minnesotta nchini Marekani umekuwa ukitoa taarifa kufuatia uchunguzi wake kuhusu kifo cha mwanamuziki Prince.
Utawala huo unasema kuwa hakuna dalili ya kuumia kwenye mwili wa Prince ambao ulipatikana nyumbani kwake karibu na Minneapolis siku ya Alhamisi.
Unasema kuwa hakuna haja wakati huu kusema kuwa Prince alikuwa alijiua.
Msemaji wa wachunguzi (Martha Weaver) alisema kuwa wa  mwili wa marehemu  Prince umekamilika kufanyiwa uchunguzi na tayari familia yake imeruhusiwa kuendelea na taratibu nyingine.
Matokeo ya uchunguzi huo hayatrajiwi kutoka hivi karibuni.

Powered by Blogger.