Ni Vita Ya Yanga Na Al-Ahly Kesho Ligi Ya Mabingwa Africa Ratiba Yote Ipo Hapa.


Michuano ya ligi ya mabingwa barani Africa kuendelea tena wikendi hii viwanja sita nyasi zake kuwaka moto macho na masikio ni katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kutakuwa na kazi kubwa mno mabingwa watetezi wa ligi ya Vodacom Tanzania bara klabu ya Yanga watacheza na mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo timu ya Al-Ahly kutoka Misri.
Kikosi cha Al-Ahly.
Kikosi cha Yanga.
Mchezo huu unatabiriwa kuwa mgumu kwa pande zote mbili hasa kwa timu ya Yanga ambayo inaonekana kutofanya vizuri dhidi ya timu za Uarabuni.

Michezo mengine ni kama ifuatavyo.


Powered by Blogger.