#Tanzia Mwanamuziki Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Mwanamuziki mkongwe aliyewahi kujizolea sifa kibao kupitia muziki wa dansi nguli Ndanda Kosovo amefariki dunia asubuhi ya leo jumamosi tarehe 9/4/2016 katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokua akitibiwa maradhi ya tumbo.
 Mwanamuziki Kardinal Gento ambaye alikua mtu wa karibu wa nNdanda Kosovo amethibitisha taarifa hizo.
 Endelea Kukaa karibu na seetheafrica.com kwa taarifa zaidi na chochote kitakachokua kinaeendelea tutazidi kukuhabarisha.


 Published By: Frank Pande (@EnkyBanks Unaweza Kuzipata Story Zote Za Ndani Na Nje Ya Bongo Kwa Kujiunga Na SeetheAfricanLink Kwenye: Facebook|Twitter|Instagram|YouTube|Audiomack
Powered by Blogger.