#VIDEO Mwili Wa Mtu Asiejulikana Waonekana Kawe
Mwili wa mwanaume ambae hakuweza kutambulika umeokotwa jana jumanne05/04/2016, Saa Kumi na Moja Jioni eneo la viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar Es S alaam.

 Wakiongea na mwandishi wa seetheafrica.com mashuhuda wa tukio hilo wanmesema ni wapita njia ndio waligundua kuwepo na mwili ulioharibika vibaya hali iliyopelekea kutotambulika moja kwa moja.
  Masaa machache baadae mapema leo seetheafrica.com ilipokea taarifa za mwili huo kuzikwa na manispaa kutokana na hali ya kuharibika uliokutwa nao.

Powered by Blogger.