Leceister City Hawashikiki,Liverpool Yafanya Mauaji Na Tottenham Spurs Yaichakaza Vibaya Man United.

mchezaji wa Lecester City Jamie Vady.

Wakicheza ugenini katika dimba la  Light of stadium Vinara wa Ligi kuu ya soka ya England timu ya Lecester City imejiweka katika hatua nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu baada ya kuwafungwa Sunderland mabao 2-0 na kuendelea kukaa kileleni mwa ligi hiyo huku wakifikisha alama 72 katika msimamo.
Hadi mapumziko timu hizo zilienda bila kufungana katika kipindi cha pili kilianza kwa kushambuliana alikuwa mshambuliaji hatari kwa sasa katika ligi hiyo Jamie Vady aliyewaweka katika hatua ya kushuka daraja Sunderland alianza kuhesabu mabao yake dakika ya 66 na 90 na kuweza kufikisha jumla ya mabao 23 msimu huu.
Jamie Vady.
Nao Liverpool wakcheza katika uwanja wa Anfield walionesha umwamba kwa kuwafunga vinara ya vigogo timu ya Stoke City mabao 4-1 katika muendelezo wa ligi hiyo,alikuwa Alberto Moreno alipachika bao katika dakika ya 8 na Stoke walisawazisha katika dakika ya 22 kupitia kwa Bojan Krkic hata hivyo bao hilo halikudumu mnamo dakika ya 32 Danie Sturridge alifunga bao la pili hadi mapumziko Liverpoo walikuwa mbele ya mabao 2-1.
Alberto Moreno.
Daniel Sturridge.
Kipindi cha pili kilianza huku Liverpool walionekana kuwa imara baada ya kuingia kwa Oringi katika dakika ya 50 na 65 Divock Oringi aliwafungia majongoo mabao mawili na kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.
Divock Oringi.
Na Mechi ya tatu ya mwisho kati ya Tottenham na Manchester united mchezo ulimalizika kwa United kuchabangwa mabao 3-0.
Dele Alli.
Dakika ya 70 mchezaji Dele Alli alianza kuiptia goli bao la kwanza Tottenham .
Toby Alder-Weireld.

Tottenham iliandika bao la pili kupitia kwa Toby Alder-weireld, huku bao la tatu likipachikwa na Erick Lamela dakika ya 76.
Erick Lamela.


Powered by Blogger.