Steven Kanumba. Tanzania siku kama ya leo ilipoteza nguvu ya Taifa Steven Kanumba msanii mkubwa aliyeitambulisha Tanzania kupitia tasnia ya filamu. Kanumba. Kanumba atakumbukwa na watu wengi kwa kazi yake nzuri ya sanaa iliyomfanya kupeperusha bendera ya Tanzania nchi nyingi ikiwemo Nigeria. Kanumba aliinua vipaji vya watu wengi na kufanya soko la sanaa kupanda likiwa na ishindano mkubwa wa mafanikio kupitia sanaa yake. Kanumba. Marehemu kanumba alifariki akiwa na miaka 28 na kupumzishwa katika makabiri ya kinondoni ambapo mazishi yake yaliudhuliwa na mamia ya watu. Kanumba atakumbukwa daima kwa kuinua kazi ya sanaa ya filamu kukua kwa kasi pia aliwai kufanya movie kubwa ya zilizopendwa na lika lote nchini na nje ya nchi. Na pia ni kumbukumbu ya mwasisa wa mapinduzi visiwani Zanzibar Abedi Amani Karume. Marehemu Karume. Published By: Alex Sonna. Unaweza Kuzipata Story Zote Za Ndani Na Nje Ya Bongo Kwa Kujiunga Na SeetheAfricanLink Kwenye: Facebook|Twitter|Instagram|YouTube|Audiomack