Hii Hapa Ratiba Ya Nusu Fainali Ya UEFA Champions League, Man City Wapewa Real Madrid.

Aguero na Ronaldo
Droo ya hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa tayari imeshapangwa kwa kila timu kujua inakutana na nani kwa kutafuta timu zitakazoingia nusu fainali ambayo itachezwa nchini Italia.
Man City.
Wababe wa Psg timu ya Man City watakutana na Real Madrid kutoka Hispania mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa mechi hizi.
Real Madrid.
Vijana wa Diego Simeone timu ya Atletico Madrid watakutana timu ya Bayern Munich na kumkaribisha kocha wa zamani Pep Guardiola na huu utakuwa mkali kutokana na makocha hao kukutana pindi Guardiola akiwa Barcelona.
Atletico Madrid.
Bayern Munich.
Michezo ya awamu ya kwanza kuchezwa tarehe 26-27 mwezi huu na marudio mwezi wa tano tarehe 3-4.Powered by Blogger.