Hatimaye Yanga Yawakwepa Waarabu,Yatupwa Nchini Angola Tazama Ratiba Ya Mechi Ninayo Hapa.

Yanga.
Hatimaye droo ya 16 bora ya michuano ya kombe la shirikisho imetolewa huku wadau wengi wa Tanzania walikuwa na wasiwasi kuwa wawakilishi wao klabu ya Yanga itapangwa tena na Waarabu lakini kwa ratiba hii Yanga imetupwa nchini Angola kucheza na Sagrada Esparanca.
Sagrada Esparanca.
Hii hapa Ratiba yote ya kombe la shirikisho.
 
 
MO Béjaïa  
Tunisia Espérance de Tunis 6–8 May 17–18 May
Stade Malien Mali
Morocco FUS Rabat 6–8 May 17–18 May
Étoile du Sahel Tunisia
Gabon CF Mounana 6–8 May 17–18 May
TP Mazembe Democratic Republic of the Congo
Tunisia Stade Gabèsien 6–8 May 17–18 May
Al-Ahli Tripoli Libya
Egypt Misr El-Makasa 6–8 May 17–18 May
Al-Merrikh Sudan
Morocco Kawkab Marrakech 6–8 May 17–18 May
Young Africans Tanzania
Angola Sagrada Esperança 6–8 May 17–18 May
Mamelodi Sundowns South Africa
Ghana Medeama 6–8 May 17–18 May

Group stage

Powered by Blogger.