Liverpool Wapewa Vilareal Europa League Ratiba Ipo Hapa.

Hatua ya nusu fainali ya Europa League imetolewa huku mabingwa watetezi mara mbili mfululizo timu ya Sevilla wataanzia ugenini kucheza na Shakhtar Donetsk.
Shaktar Donetsk.
Sevilla.
Wababe wa Borussia Dortmund timu ya Liverpool wataanzia katika uwanja wao wa Anfield kucheza na manyambizi wa majano timu ya Villarreal toka nchini Hispania.
Liverpool.

Villareal.
Michezo hii inatarajia kuchezwa tarehe 27-28 mwezi huu na marudianao yatafanyika mwezi wa tano tarehe 5-6 na fainali yake itachezwa mji wa Basel Uswis.


Powered by Blogger.