Azam Vitani Kesho Kuivaa Esparance Sportive De Tunis Huku Wawa Atakosekana Ratiba Ya Mechi Zote Ipo Hapa.

Michuano ya kombe la shirikisho kuendelea tena katikati ya wiki hii mabingwa wa Africa Mashariki na Kati timu ya Azam watakuwa ugenini katika mji wa Tunis nchini Tunisia kucheza na Esparence mchezo huu unatarajiwa kuchezwa majira ya usiku kwa sasa za nyumbani.
Azam fc.
Azam wataingia kwa kumbukumbu ya kushinda mechi ya awali katika uwanja wa Chamzi Complex wa mabao 2-1 huku itakuwa na pigo la kumkosa beki bora na kisiki wakutumaniwa Pascal Wawa ambaye hatacheza kutokana kuwa na majeruhi.
Pascal Wawa.
Mechi nyingine kama ifuatavyo.
 

Powered by Blogger.