#NewMusic Anginandaba From Miss Kiki ( @Miss_Kk1 )

Lattifah Mussa maarufu kama Miss Kiki, ni mwanamuziki mtanzania anaeishi nchini  Afrika Kusini.
 Anginandaba ikiwa na maana ya (Sina Muda Nawe) ni ngoma ambayo iko katika mahadhi ya Kwaito.
  BONYEZA PLAY KUISIKILIZA
http://music.audiomack.com/tracks/seetheafricanRadio/anginandabaseetheafricacom.mp3?Expires=1460496099&Signature=Enm1mrvxHvYCBh0Qhn6CBEDPIZlQcTaqOBQmyTOKAmHIWZtlsNJTtdJqDQjtNfhBgXZ7gBFrvyTTAQkdfqw9fOdJsQoYNm7uw-5mFKL-cKjaaLTlhT619mje-bs~NwnkWdHYoePrCNcn1gZc0vRvePz8c8QPqDQt21cUjgjcaLM_&Key-Pair-Id=APKAIKAIRXBA2H7FXITA
Kumjua Zaidi Miss Kiki Unaweza Kumfuatilia Kwenye Facebook Miss Kiki 
Kwenye Twitter Pia Anapatikana Kwa Jina la @Miss_Kk1 
Powered by Blogger.